Bei ya Suzuki Curry - Japan/ Dubai

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
602
Reaction score
152
Wadau naombeni mnifahamishe bei ya kuagiza Suzuki curry. Natamani sana kumiliki hili gari ili inisaidie katika projects zangu ndogondogo za ufugaji wa kuku.
Asanteni
 
Wadau naombeni mnifahamishe bei ya kuagiza Suzuki curry. Natamani sana kumiliki hili gari ili inisaidie katika projects zangu ndogondogo za ufugaji wa kuku.
Asanteni

mkuu M-pesa

hiyo suzuki mchuzi sijawahi kuiona labda unazungumzia suzuki carry
 
Ha ha ha ha LAT ukiona hivyo ujue experience ya magari ni ndogo mkuu.
mkuu M-pesa

hiyo suzuki mchuzi sijawahi kuiona labda unazungumzia suzuki carry
 
Reactions: LAT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…