Kwa aina hii ya matangazo, ninyi ndio mnajikosesha wateja.
Kwanza haujaweka wazi bei unayo taka kuijuwa ni kwakipimo/kiasigani cha soya.
Unapo sema kwa anae zitaka upon Kilimanjaro, hapa mimi sioni seriousness ya biashara yako kwasababu haujaweka mawasiliano na unajiweka upande wa kwamba wewe hauna haja ya kuuza bali kwa anaetaka ndio akutafute.
Sijaona hata ukisema wazi ni ngapi bei kandamizi unayo imaanisha.
Na kwa uandishi wa maandishi mekundu, hii kidogo imenitia shaka na nikama alama/ishara ya kuchukuwa tahadhari.
Sent using
Jamii Forums mobile app