Bei ya screen ya Nokia XL

Bei ya screen ya Nokia XL

jobel

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
321
Reaction score
174
Wakuu, naomba kufahamu bei ya screen ya Nokia XL kwa anayefahamu. Screen ya simu yangu imevunjika.
Nitashukuru kwa msaada wenu.
 
Nenda Mikocheni opposite nyumbani kwa Mzee Mwinyi Nokia watakutengenezea kitu fasta usiende Kariakoo kama unaipenda simu yako.
 
Asante kwa ushauri wako mzuri mkuu.
 
Asante kwa ushauri wako mzuri mkuu.

Karibu. Bei zao siyo mbaya ila nadhani inategemea na simu. Mimi walinitengenezea Lumia 820 kwa laki moja na sitini hiyo XL sijajua itagharimu kiasi gani lakini but you can trust them maana ndo wakala na kama Simu yako bado iko ndani ya warranty bei ni nafuu pia
 
Mwanza walipo mawakala wa samsung naomba kufahamishwa.

Kuna simu hapa note 1 na note 2 zote zimrpasuka vioo kama unafahamu bei pia sio mbaya kunifahamisha
 
Nenda Mikocheni opposite nyumbani kwa Mzee Mwinyi Nokia watakutengenezea kitu fasta usiende Kariakoo kama unaipenda simu yako.

Ni mikocheni ya upande gani hii huku kwa Mzee Mwinyi na mimi ninatatzo kama hili la kioo cha Nokia.
 
Ofisi zao ziko upande wa TAYOA
 
Back
Top Bottom