old model zinaanzia mwaka 1995 hadi 2000, new model zinaanzia mwaka 2000 hadi 2015...kwa bei ya kununulia japan na kusafirisha kwa meli hadi Dar, tembelea website ya BE FORWARD, kwa gharama za kodi ya gari litakapofika tembelea website ya TRA, chagua aina ya gari na mwaka wake, cc zake then watakwambia kodi yake itakuaje likifika