BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
asante mkuuManzese pumba gunia 12000
Pumba ya mahindi au mpunga?daah pumba bei sana huko dar.wakat mbeya gunia ni elf 5
mkuu hiyo ni pumba ya mahindi au mpunga kama ni ya mahindi plz naomba unitafute kwa 0659902426daah pumba bei sana huko dar.wakat mbeya gunia ni elf 5
Thibitisha hiyo bei. Sehemu nyingi gunia la debe sita pumba za mahindi ni tsh 18,000daah pumba bei sana huko dar.wakat mbeya gunia ni elf 5
daah pumba bei sana huko dar.wakat mbeya gunia ni elf 5
Mbeya ni sh ngapi mkuu?Mimi mwenyewe nipo mbeya, nafuga nguruwe sijawahi kusikia bei ya pumba hiyo. labda utusaidie mbeya sehem