Bei ya pikipiki used huko zanzibar

Bei ya pikipiki used huko zanzibar

Massbizle

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
49
Reaction score
5
Naulizia bei ya pikipiki used huko zanzibar kwa mwenye uzoefu nasikia huko ni nafuusana.
 

Attachments

  • IMG-20140121-WA0001.jpg
    IMG-20140121-WA0001.jpg
    32.2 KB · Views: 2,793
Hizo Pikipiki zinatufaa Wazanzibar tu tena tukiwa Zanzibar tu.
Bara wanataka Pikipiki Mpya tu na sio za urojo kama hizo.
 
we mzanzibar bei zikoje acha upendeleo siye wote ni wa TZ tunataka maisha bora mchina sio kabisa hadumu nimechoka nataka hizo za urojo
 
Unatakiwa useme ni pikipiki aina gani maana kuna aina nyingi mi Nina KTM 1100 CC Nataka mil 14
 
hiyo inaitwa yamaha mate au maarufu fifty (kwa sababu in cc 50). bei ni milioni moja mpaka laki nane
 
Mimi nataka scooter yoyote nipe bei na mimi naskia huko zenji bei rahisi
 

Attachments

  • 1390420941144.jpg
    1390420941144.jpg
    2.9 KB · Views: 2,858
kaka naomba mawasiliano yako mimi nahitaji dt au rt cc125 naweza nikapata?
 
Naulizia bei ya pikipiki used huko zanzibar kwa mwenye uzoefu nasikia huko ni nafuusana.
Watu tumetofautiana na binadamu wote si sawa. Yani watu wanaulizia bei, a pikipiki used wakati mimi Naulizia bei za Bugatti Chiron used ninunue ambapo ikiwa used ni 2.5 millions US dollars na ikiwa mpyy ni 8.5 M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom