Bei ya pikipiki mpya aina ya YAMAHA-DT

na YAMAHA-DT used ina range bei gani kiongozi, yenye hali nzuri ofcourse
 
na YAMAHA-DT used ina range bei gani kiongozi, yenye hali nzuri ofcourse
Mkuu used kwa mtu unaweza kupata kuanzia million 1.5 na kuendelea kutokana na hali ya chombo.

Nini kimekufanya uipende DT 125?
Wewe utamudu bei ya spea,kuitunza vizuri, Ulipo kuna mafundi wazuri wa 2-Stroke engine, fundi akiwa mzozo hata utoipenda hiyo bike itakosa nguvu na kuiwasha utapiga kick mpaka uote vigimbi.
 
Mkuu, hivi Dt Yamaha ni 2 Stroke?
 

Mkuu tunaomba msaada wa picha tafadhali... Kwa sisi tusiozijua tupate kuzijua.
 

Mkuu yalinikuta hayo mpaka nikaamua kuiuza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…