Jamani naomba kujuzwa bei ya nyumba kupangisha njiro container, nina brand new house, ina 4 bedroom, finishing ya uhakika vioo, tiles, gypsum, skirting strips, nna fensi na eneo la kutosha.
Alafu kuna ka servant quater mchumba master mkubwaaa na sebule kubwa sana.
Naishi DSM sasa wakuu mnanishauri nipangishe bei gani? Rate za huko kwenu machalii ziko vipi?