Habari wana Jf
Poleni na kazi, pls mwenye uelewa wa haya mambo ya Tanesco naomba anijuze nawezaje kupata meter yangu mwenyewe mpya ya LUKU na itanigharimu shilingi ngapi hadi kufungiwa. Hizi nyumba za kupanga umeme unaweza kuwagombanisha wapangaji kwa kweli.
Nawasilisha.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ambiente asante sana kwa taarifa comrade.Contractor kufungua file = sh 45,000
Vifaa Earth wire/ circuit break/ Mete Switch wire = 290,000
Ufundi wa kufunga vifaa= 101, 000
Mchoro wa Surveyor wa Tanesco = sh 50,000
Kulipia Luku Tanesco - 320000
Ndipo utasubiri (Foleni) miezi kufungiw au lipa rushwa ya sh. 100,000
Nimelipia TANESO Tegeta nasota miez 2 sasa. Haina tofauti na kunganisha umeme nyumba mpya, tofati ni nguzo tuu.
TANESCO SI WATU
yah? Hiyo ndio dawa japo kwa mtu mkorofi sidhani kama itasaidia, kwani aweza kugoma kulipa na wote mkabaki na giza au mambo yako yasiende.!Kuna meter ambazo zinasoma kiasi unachotumia kitafute.
ambiente asante sana kwa taarifa comrade.
Ila sasa kuna mdau hapo juu kasema haiwezekani, tanesco wanafunga meter kwa nyumba mpya (non existing customer) tu. Hapo kidogo umenichanganya, mbona kwenye maduka unakuta mtu anaamua kuweka meter yake mwenyewe though jengo ni moja vipi kwa nyumba ya kuishi isiwezekane? Hapa kwangu sio kuwa naweka kwenye chumba hapana, ni kwamba kuna nyumba kubwa ya family tumepanga na nyumba separate ya uani ambayo kuna mpangaji mwingine, sasa huyu wa uani msumbufu sana so tunataka kuweka meter yetu separate na hiyo nyumba ya uani ambayo kuna mpangaji tofauti na sisi. Ndiyo swali langu limeegemea hapo
Hata hivyo ambiente umeniainishia gharama ambazo ni kwa mteja mpya/nyumba ambayo ndo kwanza inawekwa umeme. Hizo nimekuelewa vizuri, sasa je kwa case yangu ambayo tayari huyu mwenye nyumba tayari ni existing customer na wiring ipo ila tu tunataka kutenganisha meter hili imekaaje?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kuna meter ambazo zinasoma kiasi unachotumia kitafute.
Ndugu deonova Kama una wazo zuri hivi, na ukereka na na masahibu ya upangaji, Basi wazo lako la kwanza lingekuwa ni wewe kuchukua hatua na Maamuzi Magumu ya Kutafuta kiwanja na kuanza kujenga Makazi yako.
Haileti Maana kwa kero inayokupata kisha unakuja ufumbuzi wa Kumsaidia Mama/Baba mwenye Nyumba wako kwa Kuongeza luku. Leo na kesho kama haupo!? Hiyo luku utaipeleka wapi!??
Amka na uanze kung'amua kuwa hiyo ni starting point ya ww kuwa na kwako.
Nkupe Mfano Mdogo wa Jamaangu aliyeamua kuchukua maamuzi Magumu. Yeye aliamka asubuhi ili aende kuoga awahi kazini,alipofika Bafuni akakuta baba Mwenye Nyumba anamuogesha Ndugu yake aliyekuwa Mgonjwa ili aweze kumpeleka kliniki ya Mazoezi. Zoezi la kumuogesha Mgonjwa wake lilichukua takriban 50dk. Jamaangu naye alikuwa siku hiyo alihitajika kuamka Mapema awahi kazini kwani kulikuwa na Kikao Cha Bodi ya wakurugenzi ofisini siku hiyo saa moja na nusu asubuhi. Alijikuta anafika kazini siku hiyo saa Mbili na 40dk kutoka tegeta anakoishi. Na siku hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuchelewa kazini. Lakini kila alipojaribu kujitetea hakueleka kwa Bosi wake.
Alichokifanya, wiki iliyofuata aliamua kwenda kuhamia kwake GOBA akiwa hajaweka hata Madirisha, akasema hayo Madirisha yatamkuta akiwa huko huko.
Angekuwa Ndugu yangu "deonova" hapa nahisi angeenda kumtafuta Fundi ujenzi na kuongezea Chumba kingine cha BAFU kwenye nyumba ya BOS wake.
Ni mawozo na kuelemishana tu jamani, Msinichukie.

KakaJambazi hebu nipe ufafanuzi kidogo kuhusu hiki kifaa in terms of its operation. Je ni kwamba kinaweza kusoma matumizi ya each induvidual house?Nunua unit reader tu 45000/- , labda wawe hawalipi umeme pia kwa wakati.
KakaJambazi hebu nipe ufafanuzi kidogo kuhusu hiki kifaa in terms of its operation. Je ni kwamba kinaweza kusoma matumizi ya each induvidual house?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kinasoma iwapo kitafungwa kwa kila mhusika.
Kikisoma mfano unit 20 labda kwa mwezi, basi mhusika anapaswa akanunua hizo unit 20.
Gharama ya Service chaji ya kila mwezi mnaweza gawana.
Hii kifaa kinauzwa wapi mang,? TANESCO au kwenye maduka ya vifaa vya umeme????