Nina ndugu yangu ni mgonjwa wa sukari. Nahitaji kumnunulia mashine ya kupima. Ipi ni aina bora ya mashine ya kupima sukari lakini inayouzwa kwa bei nzuri/nafuu.