Ndugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800)
HAPA KAZI TU
Sijaelewa UKAWA imeingiaje hapa. kwani mamlaka ya maji inafanya kazi kisiasa?
Toka zako hapa.., unataka huduma bora wakati mbahili wa kuchangia, kama unaona vipi nenda ruvu ukachote na ndooNdugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800)
Note
Maji ni uhai tutafika kweli?
watu wanauziwa dumu hadi shs.1,000/- kwa dumu kisa hawapati huduma ya maji anayopewa yeye, tena kwa kodi za hata wale ambao huduma hawaipati. Kazi kulalamika tu.Acha kulalamika, mimi nanunua dumu la lita 20 kwa sh. 500 huku mtaani.
Ndugu Mteja;tunakutaarifu kuwa bei ya majisafi imepanda toka Sh 1,098 hadi sh 1,663 kwa lita 1,000 pia bei majitaka imepanda toka sh.275 hadi sh.386 kwa lita 1,000 kuanzia Dec.2015 maelezo piga(0800110064 au 0222194800)
Note
Maji ni uhai tutafika kweli?
Maji gani hayo....kwa hiyo lita 10 ni shilingi ngapi
Mbona sijaelewa hawa Dawasco maji gani kwa bei hiyo.lasivyo nitaandamana
watu wanauziwa dumu hadi shs.1,000/- kwa dumu kisa hawapati huduma ya maji anayopewa yeye, tena kwa kodi za hata wale ambao huduma hawaipati. Kazi kulalamika tu.