Bei ya magari used ya kutembelea bei ya chini

Inategemea Na Gari We Unataka Gari Gani Kwa Mfano?, Magari Sio Kama Dagaa Zimepangwa Mafungo
 
Namuunga mkono Sunuka hapo juu. Gari sio dagaa.

Ili ushauliwe vizuri ungesema matumizi yako, budget yako, umeandaa tsh ngapi ya mafuta kwa mwezi na tsh ngapi ya service kwa mwezi.

Ila kwa sisi wenye kipato cha chini, brand ni Toyota, na engine size iwe between cc1000 to 1800.
 
Gari yyte ni gharama, shortly ni kama mke hata iwe vitz passo au duet! Na kwa vile unataka ya bei ya chini mno means huna mkwanja wa kutosha, nikikwambia ni mil 5 bado itakuumiza coz itakuwa ishatumika sana, pia nikikwambia mil 8 au tisa showroom bado ni pesa nyingi pengine kwako. SHORTLY KUZA KIPATO CHAKO KWANZA
 
Back
Top Bottom