Bei ya mafuta kupanda kuanzia kesho

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,189
9,298
Wakuu habari,

Kwa taarifa zilizonifikia toka mamlaka husika zinaeleza bei ya mafuta kuanza kupanda kesho Jumatano.

Naomba niweke data iliyokamilika hapa chini.

IMG-20170404-WA0042.jpg
 
Nakumbuka ule usemi "Ukikaa Dar mpaka mwezi wa sita na hauna shughuli ya kufanya wewe ni mwanaume"

Naona pumzi inakata acha nirudi kijijini.
 
Kwani shida iko wapi? Wao wakipandisha bei ya mafuta na wewe pandisha bei ya huduma au bidhaa unayozalisha, basi, mnakuwa ngoma droo. Kama unazalisha mchele au mahindi au viazi na wewe pandisha bei, akikuuzia mafuta bei kubwa na wewe muuzie ugali bei kubwa ili pesa aliyokunyang'anya irudi kwako. Tatizo linakuja kama wewe ni mcheza kamari na hivyo huzalishi bidhaa wala huduma yeyote ile, sasa sijui utapandisha bei ya mkeka wako
 
Kwa apa Dar es salaam Tanzania bei ya mafuta ilikuwa inachezea 2060 baadhi ya vituo muhimu kama Puma, lakini Lake oil walikuwa na bei ya 2050. Ngoja kesho tuone bei ya petroleum itakuwaje
 
Kwa apa Dar es salaam Tanzania bei ya mafuta ilikuwa inachezea 2060 baadhi ya vituo muhimu kama Puma, lakini Lake oil walikuwa na bei ya 2050. Ngoja kesho tuone bei ya petroleum itakuwaje
Gbp ilikuwa 1980!
 
Back
Top Bottom