Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,192
- 26,962
Wanajamvi naomba kujua bei za hizo mashine tajwa kwa mwenye kujua .
Nimejaribu kugugo Ila sijaridhika na nilichokiona .
Msaada tafadhali
Na zenyewe zinapatikana pale ubungo Millennium ParkMashine zile za welding(kuchomelea) na zenyewe bei gani? Wakuu
Wanajamvi naomba kujua bei za hizo mashine tajwa kwa mwenye kujua .
Nimejaribu kugugo Ila sijaridhika na nilichokiona .
Msaada tafadhali
Shukrani mkuu kwa msaada wakoPale Millenium Business Park Ubungo zipo. Bei ya manual ni Tzs. 3 million na Hydraulic ni 33 million-Wanaitwa Nile Machines. Namba ya Mchina mwenyewe ni 0654910708, anaitwa Sam Du.
Bei zilizoko kwenye post ya zamani zilishapitwa na wakati.
ELIMU KIDOGO: Kuna aina mbili za interlocking bricks/ blocks kwenye soko letu; Aina hii moja inayoweza kuzalishwa na hizi machine za kichina ni bora kwakuwa zina lock mbili na vishimo tofauti na zile zizalishwazo na Hydrafoam.
Mwenge sehemu gani mkuu?Kama unataka hiyo mdogo ya manual unaweza kupata mahali flani pale mwenge bei ilikuwa 420,000/=
Weka namba au ni pmMimi ninayo naiuza laki tano mpya kabisa sijaitumia. Mradi ulikufa kabla ukiwa katika hatua za kuanza..
Kuna taasisi ambayo iko chini ya shirika la nyumbani NHC wako pale mwenge karibu na geti la kuingia ile kambi ya jeshi kabla hujafika kwenye taa barabara ya Sam nujoma.Mwenge sehemu gani mkuu?
Mwenge sehemu gani mkuu?