Kuna aina geji 28 zipo nyingi kwa majina yetu ya mtaani ni kama hapo chini
- Bati za kawaida (zilizozoeleka tangu enzi)
- Bati za kawaida ila zinakuwa zina rangi toka kiwandani
- Bati za migongo mikubwa
- Bati zile zinazofanana kama vigae
Sasa wewe unataka aina gani ya bati kati ya hizo hapo juu ili uweze kusaidiwa