Chukua bila kusita, kwa hizi spec. huwezi kupata popote laptop kwa hiyo bei.Pc Ram 8GB,
1000GB
core i3
poa poaChukua bila kusita, kwa hizi spec. huwezi kupata popote laptop kwa hiyo bei.
sio mwanchuo ni muuza laptop kabsakama ni Mwana chuo anakuuzia ujue kaiba huyo
ni used ndugubei mbona iko chini hivyo ukilinganisha na specs zake...??
think twice...
sawasaBeba hiyoooo kama haina tatizo jingine, ila hakikisha kwanza hizo specs kama zipo kweli