Bei ya Korosho madukani

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Korosho mbichi kwenye Supermarket ni 18000 hadi 22,000 Tshs kwa kilo

Hii ni Korosho iliyo banguliwa

Waziri alitoa ushauri Mzuri kuwa Watanzania wale Korosho maana zina Afya, Tatizo lipo kwenye Urasimu? Korosho zitapatikana vipi ili wauzaji wa reja reja wauze?

Waziri anajua bei ya Korosho reja reja mtaani? au aliongea kisiasa tu?

Korosho iliyokaangwa inauzwa 3000 kwa gram 100

Nina amini kuwa Serikali itafute Msambazaji kama Bakressa au Mo- wafanye processing, kufungasha, itasambazwa vizuri, bei itapungua na watanzania watakula
 
Nilienda Mtwara mwaka juzi. Pamoja na kulipwa kule mtusiku, Korosho nilishindwa kununua hata kilo moja. Sijui why beibyake huwa kubwa HV. Niliwahi pia shindwa nunu a dsm kwenye maduka ya wahindi.
Wangdpakibna kuuza kitanzania walau kilo 10,000, robo 2,500 lkn hata za jero zieleweke.
 
Wee Korosho kwa kuleta heshima nyumbani ni balaa, Si Pweza si Energy
Korosho ni hatari, yaani ukizila kwa umakini zinaongeza MAHANJAM yaani
mambo yetu yaleee yanasisimua Raha inafika mpaka kisogoni weee....
Kula Korosho kama kilo Tano hivi... We... we... mi balaa yaani utamu
mpaka Kisogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…