jesca.com Member Joined Jan 11, 2015 Posts 38 Reaction score 5 Mar 7, 2015 #1 Habari ya majukumu naomba kuuliza wafanyabiashara ulieko mkoa wowote Dar Iringa Mbeya bei ya gunia la njugu mawe ni shilingi ngapi??
Habari ya majukumu naomba kuuliza wafanyabiashara ulieko mkoa wowote Dar Iringa Mbeya bei ya gunia la njugu mawe ni shilingi ngapi??
J JITUgumu Member Joined Jul 15, 2020 Posts 36 Reaction score 32 Sep 17, 2020 #2 Dah mkali wangu sorry sitajibu swali lako bali naomb na mim unijuze ni wap kwa mkoa wa Mbeya naweza zipata hzo njugu mawe
Dah mkali wangu sorry sitajibu swali lako bali naomb na mim unijuze ni wap kwa mkoa wa Mbeya naweza zipata hzo njugu mawe
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Sep 17, 2020 #3 JITUgumu said: [SUP]dah mkali wangu sorry sitajibu swali lako bali naomb na mim unijuze ni wap kwa mkoa wa mbeya naweza zipata hzo njugu mawe[/SUP] Click to expand... Njugu mawe Ni hizi???
JITUgumu said: [SUP]dah mkali wangu sorry sitajibu swali lako bali naomb na mim unijuze ni wap kwa mkoa wa mbeya naweza zipata hzo njugu mawe[/SUP] Click to expand... Njugu mawe Ni hizi???
J JITUgumu Member Joined Jul 15, 2020 Posts 36 Reaction score 32 Sep 17, 2020 #4 mh labda apo kama zitakua bado ziko shamban ila kama zikishavunwa ziko kama karanga.angalia picha apo chini
mh labda apo kama zitakua bado ziko shamban ila kama zikishavunwa ziko kama karanga.angalia picha apo chini
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Sep 17, 2020 #5 Yes nazifahamu. Tumezilima Sana nyumbani Bukoba vijijini, ingawa kule tulikuwa nazo nyekundu
J JITUgumu Member Joined Jul 15, 2020 Posts 36 Reaction score 32 Sep 17, 2020 #6 Kashaija72 said: Njugu mawe Ni hizi???View attachment 1572536 Click to expand... mh apo itakua bado zipo shamban ila zikivunwa zitaonekana kama picha ya chini apo
Kashaija72 said: Njugu mawe Ni hizi???View attachment 1572536 Click to expand... mh apo itakua bado zipo shamban ila zikivunwa zitaonekana kama picha ya chini apo
J JITUgumu Member Joined Jul 15, 2020 Posts 36 Reaction score 32 Sep 17, 2020 #7 Kashaija72 said: Yes nazigaham. Tumezilima Sana nyumbani Bukoba vijijini, ingawa kule tulikuwa nazo nyekundu Click to expand... MAi niko Mbeya sas af nina shida nazo saaaana.so we wajua nawez zipata wap kwa mbeya
Kashaija72 said: Yes nazigaham. Tumezilima Sana nyumbani Bukoba vijijini, ingawa kule tulikuwa nazo nyekundu Click to expand... MAi niko Mbeya sas af nina shida nazo saaaana.so we wajua nawez zipata wap kwa mbeya
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Sep 17, 2020 #8 JITUgumu said: mi niko mbeya sas af nina shida nazo saaaana.so we wajua nawez zipata wap kwa mbeya Click to expand... Kwa Mbeya sifaham. Kama unazihitaji njoo inbox
JITUgumu said: mi niko mbeya sas af nina shida nazo saaaana.so we wajua nawez zipata wap kwa mbeya Click to expand... Kwa Mbeya sifaham. Kama unazihitaji njoo inbox
J JITUgumu Member Joined Jul 15, 2020 Posts 36 Reaction score 32 Sep 19, 2020 #9 Kashaija72 said: Kwa Mbeya sifaham. Kama unazihitaji njoo inbox Click to expand... poa
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,334 Reaction score 12,466 Sep 20, 2020 #10 JITUgumu said: mh labda apo kama zitakua bado ziko shamban ila kama zikishavunwa ziko kama karanga.angalia picha apo chiniView attachment 1572538 Click to expand... Sawa
JITUgumu said: mh labda apo kama zitakua bado ziko shamban ila kama zikishavunwa ziko kama karanga.angalia picha apo chiniView attachment 1572538 Click to expand... Sawa