K kazy Senior Member Joined Sep 13, 2012 Posts 126 Reaction score 50 Oct 3, 2013 #1 wakuu compyuta yangu aina ya sony vaio imenizingua sasa nimempelekea fundi kaniambia gpu imekufa na bei yake elfu sitini,kuna ukweli eti hapa wakuu maana naona hela ni nyingi sana.au ananiibia??
wakuu compyuta yangu aina ya sony vaio imenizingua sasa nimempelekea fundi kaniambia gpu imekufa na bei yake elfu sitini,kuna ukweli eti hapa wakuu maana naona hela ni nyingi sana.au ananiibia??