S Slaker JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 237 Reaction score 31 Dec 26, 2016 #1 jaman,samahanini sana. kwa mwenye uzoefu wa bei za godoro la tanfoam 5×6 inchi 10 naomba anijuzee. maana kabla mwaka haujaisha ,itabidi nijitahidi kupata godoro ya kulalia. natangulisha shukran zangu za dhati.
jaman,samahanini sana. kwa mwenye uzoefu wa bei za godoro la tanfoam 5×6 inchi 10 naomba anijuzee. maana kabla mwaka haujaisha ,itabidi nijitahidi kupata godoro ya kulalia. natangulisha shukran zangu za dhati.