Wakuu habari zenu,ninatafuta kujua bei ya fusso used toka Japan or anywhere ambako zinapatikana. Specification ni Fighter Box yenye engine ya D16. Please mwenye idea naomba anipe msaada wa kufaham walau current price range. Asanteni sana
Kwa Japan FOB $6,820.00
Registration Year / Month ; 2001/12 Odometer ; 901,000 km
Displacement ; 8,200 cc
Steering : Right
Transmission ; Manual
Fuel ; Diesel
Model code ; KK-FK61HJ
Kwa Japan FOB $6,820.00 View attachment 105848
Registration Year / Month ; 2001/12 Odometer ; 901,000 km
Displacement ; 8,200 cc
Steering : Right
Transmission ; Manual
Fuel ; Diesel
Model code ; KK-FK61HJ
mkuu asante kwa picha isipokuwa ninahitaji tipper ya kubebea mchanga(benua mchanga) kama zile isuzu za zamani zilikuwa na rangi ya blue vijana wanaita bichwa la ng'ombe siku hizi so ni fuso yenye jeki na sio box body