Bei ya flash disk ya jumla

Bei ya flash disk ya jumla

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,974
Reaction score
1,210
Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu.
 
Ninazo za 8gb aina ya sandisc ziko 21 kama vp ni pm tuongee biashara
 
Nahitaji mwenye kujua sehemu
naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu.

kaka ulipata flash disc?
kama bado unatafuta
nauza toshiba flash disc made in Philippines with 5 years warranty
8 gb 10000
4 gb 8500.
 
Ninazo za 8gb aina ya sandisc ziko 21 kama vp ni pm tuongee biashara


bado uko na mzigo au umeisha? kama umeisha nicheki 0777883861 nikuongezee mzigo kwa bei ambayo utapata faida na wewe
 
Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu.

Ndugu tupigie au wasiliana nasi ili upate flash disk, memory cards, powerbanks nk. Titakusambazia kwa bei nzuri sana
Meseji/whasapp/piga 0754 734009.
 
bado uko na mzigo au umeisha? kama umeisha nicheki 0777883861 nikuongezee mzigo kwa bei ambayo utapata faida na wewe

Me UnLimited Nimeshaingiza container nina tender na kampuni fulani fulani siwezi kuzigaja due to security reasons na personal interest...!
 
Back
Top Bottom