Bei ya Epson L382 Printer njia panda

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
203
Reaction score
338
Nimeulizia kwa maduka mbalimbali bei ya Printer ya Epson L382 mpya ila majibu yake yameniweka njia panda maana nimejibiwa bei zifuatazo katika maduka matatu niliyoulizia.
1. TSH 420,000

2. TSH 450,000

3. TSH 339,000

Je mbona kuna tofauti kubwa kutoka 450,000 hadi 339,000.
Au kuna fake na Original?

Naomba ufafanuzi.
 
Ikiwa bei ndogo ni feki.

Feki iliuzwa bei kubwa sio feki tena bali ni orijino.

Wabongo sijui tunakwama wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…