Japo sijajua engine yako ni 1NZ au 2NZ, ila kwa ninavyofahamu, bei ya engine mpya unaweza kununua IST nyingine kutoka Japan. Maana sio chini ya US$ 5,000 bila usafiri na kodi. Engine used kwa hizo gari itakuwa kati ya 1.8m na 3m. Ubora wake unategemea na hali ya engine kabla ya kutolewa kwenye hilo gari. Which means kama ilikuwa kwenye hali nzuri, kwa hali ya kawaida, itaweza kukupa another 2 to 7years kutegemea na matumizi yako kama itafungwa vizuri, na wewe utaitunza vizuri.