Wakuuu kwa mwenye kujua hili naomba msaaada naweza pata DSTV full kwa sh ngap yaaan kile kifurush kikubwa kabsa cha matumiz ya nyumban na installlation fee inakuwa ngap na pia nijue kma hao watu wa inst wanapatikana mpka huku vjijin nliko? Mf. Namtumbo Songea
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Ktk hizo package unapata nn?
Interest yako ni nini kwenye Tv
Football
Movies
Documentaries
Music
News
Then itakuwa rahisi kukushauri package gani inakufaa
Interest na football na movies package gani nzuri.
mi nataka movie tu!!chukua cha laki na 35 ni kizuri sana kitakufaa
Ipo mpaka ya elfu 17 ila sijui inaitwaje.Kwa sasa kujiunga DSTV ni Tsh 129,000 ( decorder na dish) then utajumlisha na bei ya fundi ambayo Mara nyingi ni Tsh 20,000.Vifurushi vipo vya Access-17,000,
Family-33,000,
Compact-55,000,
Compact Plus -90,000
naPremium -139,000
Kma wajua mwagika hapa, hyo site unazngua
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
mi nataka movie tu!!
dstv walanguzi sana kuna utofauti mkubwa sana wa chaneli kati ya kifurushi cha compact plus(86k) na premium (135k) ukichukua compact plus za sports unapata ss 200,206,207,209 na super sport maximo wakati mechi nzuri wanaonyesha ss3,ss4,na ss 5 wanafanya hivyo purosely hata kwa mpenda movie mnet 102,103,104 zote hupati unaenda kupata 107,mnet action,universaal channel na nyingine za kawaida ila movie kali za mnet 103,105 hupati so kwa upande wangu to be honest kama unajiweza bora uchukue tu premium hivi vingine vinazingua sana hasa kama ni mpenzi wa mpira coz movie unaweza kucheki marudio ila mpira huwa live
Asante kwa kunielekeza mkuu nili overlook.Ndo kaanza nacho kasema knaitwa access mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums.
chukua cha laki na 35 ni kizuri sana kitakufaa
mmh kwa hapo sijui ila najua kuna wanafanya full installation kwa 135k pamoja na kfurushi ila sijui wanakuoa kifurushi gani?Asante mkuuuu, hyo 135k n package tu. Au both installation cost na package? Hata mie nahitaj hyo premium ili nchek mech zoteSent from my iPhone using JamiiForums.����