Tumia za DJI Mavic Mini bei $400 au kama unaweza sana chukua Mavic Air Pro $800. Naamini ndio zipo top notch ingawa kuna cases wanasema haziwezi sana kuhimili upepo hasa wa beach hivyo usije enda nazo pale Bunena.

Hizi nimeshuhudia sana kazi zake tena zipo very common kwa watu wengi hapa Dar. Sema mleta uzi hakusema anataka drone ya kupigia kazi gani. Kama anaweza mudu gharama hii iliyotajwa hapa basi ajue hii ni uhakika. Pia lazima uagize nje maana ukitegemea bongo utapata kwa bei mbaya sana. Tabutupu