kycheneke
Member
- Nov 3, 2016
- 68
- 34
Poleni na mizunguko ya kila siku, mimi ni mwanafunzi wa chuo...
Nmeamua kulima mpunga, sababu napenda kuinvest katika kilimo,, ila bado nakosa hints za kutosha kwa kilimo Cha mpunga, KWA CHOCHOTE CHA KUNISHAURI TUPIA HAPA hasa katika bei ya kupalilia na dawa,,, NTASHUKURU..