Bei ya daladala used & mpya

Guacamole

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
6,220
Reaction score
16,468
Rejea kwenye kichwa cha habari.

Nimefungua uzi huu kutaka kujua kutoka kwenu bei ya kununua gari ya kupakia abiria, maarufu kama Daladala.

Kwa wanaojua, naomba kujua bei ya kununua ikiwa used na ikiwa mpya huwa ina-range kwenye kiasi gani.

..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…