Bei ya cigar za kizungu

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
Wakuu habari,

Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka.

Natanguliza shukrani.
 
Kweli hii ni News alert!
 
cigar si za wazungu tu.
Zina vutwa sana cuba.
Zinapatikana kwenye supermarket kubwa kama pale uchumi
 
Wakuu habari,

Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka.

Natanguliza shukrani.

Huyo "mzungu" ndiyo amekwambia anahitaji "cigar za kizungu"?....hahahahahaa...madharau!
Mwambie aache ushamba, muulize anataka cigar aina gani, super market kubwa, hotels kubwa, clubs, casino utapata kuanzia Partagas Piramides mpaka Cohiba Esplendido! !
 
Wakuu habari,

Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka.

Natanguliza shukrani.

unahitaj kiac gan? Nitafute ninazo
 
Mkuu Cohiba ni nzuri sana sijajua hapa Bongo zinapatikana wapi,ila ni Best Cigar niamini...unaweza ukajihisi ni Fidel Castro kwa muda!!lol
 
Nenda Ma
Wakuu habari,

Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka.

Natanguliza shukrani.
Nenda maduka yaliyopo ndani ya Sea Cliff Masaki zipo za kutosha..
Unachagua tuu unataka za nchi gani
 
Wakuu habari,

Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka.

Natanguliza shukrani.

Mimi ninazo kama bado anahitaji please ni pm

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…