Bei ya bodaboda SAN LG

Bei ya bodaboda SAN LG

Mswagillo

New Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habar wadau..
Kama kuna mtu yeyote anajua bei ya pikipiki(bodaboda) SAN LG kubwa nyekundu mpya ni sh ngapi, naomba anisaidie pleasee
 
milion mbili, fekoni ni milion moja na laki nane. ndio biashara zetu mjini hapa za kumiliki boda bodo, japo hatuna ajira lakini kwa mwezi tunakipato kama mfanyakaz wa benk
 
San lg used ni sh ngapi wakuu
Bei hitegemea na mazingira uliyopo, upatikanaji wake na mahitaji. Mfano pikipiki tajwa bei ya Nzega Tabora ni Tshs 2,100,000/= na Kahama na Mwanza hupatikana kati ya Tshs 1,950,000 hadi 2,50,000/= kwa pikipiki Mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom