Ungepiga picha moja moja ingekuwa poa kuliko hivo ulivoweka kwenye gridframeMakochi set nzima laki 3 ,hata moja moja nauza ,vitanda Kuna cha nne kwa sita na sita kwa sita vyote na magodoro yake kila kimoja 200,000,fridge laki mbili Wateja karibuni ,makabati elfu 70 kila moja.View attachment 529390
Fridge ni Westpoint ata kwa laki na 50 siuzi ,nilinunua laki tano na lina Fanya Kazi vzr kbsChukua 70 elfu niachie iyo friji
JamaniiiiiiiMkuu hauna gari.. Nataka nunua gari
Dar es salaam gobaUnapatikana wapi
Walikupiga mkuu..Fridge ni Westpoint ata kwa laki na 50 siuzi ,nilinunua laki tano na lina Fanya Kazi vzr kbs
Ndio ndugu yangu naenda kibiti na tupatupa wa LumumbaMkuu unataka kutukimbia mjini unarudi mkoani?
Uliuziwa bei mbayambaya mkuu huwezi uza zaidi ya laki unusuFridge ni Westpoint ata kwa laki na 50 siuzi ,nilinunua laki tano na lina Fanya Kazi vzr kbs
Ni vya kwangu nani wakunikamata MkuuUna receipt zake. Wasije kunikamata labda ulipiga sehem
Nipo goba dar km upo serious piga humu Mkuu 0620685593unapatikana wap pakia kwenye Mghamba nitapokea niko Rock city
Nipo goba dar km upo serious piga humu Mkuu 0620685593unapatikana wapi asee, naweza hitaji kitanda
Sawa Asante kwa ushauri ila bei ndo hyo mkuuUliuziwa bei mbayambaya mkuu huwezi uza zaidi ya laki unusu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24]Ndio ndugu yangu naenda kibiti na tupatupa wa Lumumba