Pancho panchilo Senior Member Joined May 18, 2017 Posts 121 Reaction score 95 May 24, 2017 #1 Msaada jamani, wapi naweza kulata mahindi ya bei nafuu. Nawasilisha!
jonas amos JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 3,648 Reaction score 4,452 May 24, 2017 #2 Katav bonde la mpimbwe 45 na kuna maeneo 30 Shamban
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,308 May 24, 2017 #3 jonas amos said: Katav bonde la mpimbwe 45 na kuna maeneo 30 Shamban Click to expand... Huko kukodisha shamba la kilimo wanakodisha kiasi gani? maisha ya mjini yamenishinda
jonas amos said: Katav bonde la mpimbwe 45 na kuna maeneo 30 Shamban Click to expand... Huko kukodisha shamba la kilimo wanakodisha kiasi gani? maisha ya mjini yamenishinda
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,658 May 25, 2017 #4 Pancho panchilo said: Msaada jamani, wapi naweza kulata mahindi ya bei nafuu. Nawasilisha! Click to expand... Kulata ndo kufanyaje? Au ulimaanisha kupata
Pancho panchilo said: Msaada jamani, wapi naweza kulata mahindi ya bei nafuu. Nawasilisha! Click to expand... Kulata ndo kufanyaje? Au ulimaanisha kupata
Pancho panchilo Senior Member Joined May 18, 2017 Posts 121 Reaction score 95 May 25, 2017 Thread starter #5 Thad said: Kulata ndo kufanyaje? Au ulimaanisha kupata Click to expand... Nilimaanisha kupata mkuu..