K Kremme JF-Expert Member Oct 17, 2016 471 495 Apr 30, 2017 #1 Habari za weekend ndugu, Naomba kufahamu bei na aina za mashine ya kufyatulia tofali za umeme kwa wenye kujua. Natanguliza shukrani zangu za pekee.
Habari za weekend ndugu, Naomba kufahamu bei na aina za mashine ya kufyatulia tofali za umeme kwa wenye kujua. Natanguliza shukrani zangu za pekee.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 95,565 116,221 Apr 30, 2017 #2 Mkuu upo kwenye orodha ya Mhe nini? hongera kwa ubunifu.