Nimemuachia ukumbi bwana mkubwa ajiachie, nilitaka niweke record sawasawa, nashawishika kuwa huenda kuna decision makers/policy makers au wale ambao wana influence maamuzi ya nchi/serikali wakapita hapa kunyakua mawili matatu, ni vyema kuelezea kiini cha tatizo (course) (proactive) halisi kabla ya ku-rush kwenye kuelezea 'reactive' consequences za CIA, AL Queda, et al.
Radical Islam its a contemporary axis of balance btn peace and conflicts, and may be in half a century to come, if not more, will be, failing to comprahandle the core course of the problem will leave us dealing with what is urgent and not what is important which is an important element in national security decision making process.
Unless ameleta 'story' tam...