Hahaha duh mzee hapo umenichekesha!!
Kuna bongonians wawili nawajua wako US Army na mwingine yuko Marines.
Wivu wa nini? lol watumwa utawajua tu..kwa kujipendekeza lol! ha ha ha nimekushauri nenda kajiandikishe siyo mimi ..siungi mkono ushetani wa kwenda kuua watu wengine..Wivu mbaya sana, lol.
Hivi unafikiri kati ya wewe na Rais wa Libya au Hugo Chave wa Venezuela ni nani wa maana hapa?
Vice wa Hugo alipo rudishwa JFK si waliilaani America, kama USA sio taifa kubwa niambie ni nchi gani ni TAIFA KUBWA?
Wivu wa nini? lol watumwa utawajua tu..kwa kujipendekeza lol! ha ha ha nimekushauri nenda kajiandikishe siyo mimi ..siungi mkono ushetani wa kwenda kuua watu wengine..
Kati ya mimi Rais wa libya au Hugo nani wa maana? inategemea una muuliza nani?..mimi ni wa maana kwa familia yangu kuliko Hugo na Qadafi of course lol, mimi ni wa maana kwa dini yangu na Taifa langu kuliko hao..swali lako ni very subjective..it all depends..who you ask?
Taifa kubwa lina kuja bado ...hakuna Taifa kubwa kwa sasa kuna mapebari wenye kuganga njaa na kuua watu wakishirikiana na wakristo waliopotea..
Duh, sihitaji wala sijawi kutafuta..nimezaliwa Tanzania nitabaki mtanzania...washauri watumwa wenzako lol...nimetosheka sana ndugu.Unaona wivu unavyo uweka kiuwazi?
Kama huna qualifications za kulamba Uraia wewe sema, waache wenye hizo pre qual waanze mbele.
IT is the United States of America.
Duh! hiyo ni allegation itabidi -U-prove! Sihitaji kuwa fisadi wala nimeridhika na ninachokipata na kupewa na Allah, inanitosha mimi na familia yangu.Kumbe wewe ni fisadi. lol,
Duh! hiyo ni allegation itabidi -U-prove! Sihitaji kuwa fisadi wala nimeridhika na ninachokipata na kupewa na Allah, inanitosha mimi na familia yangu.
Kumbe wewe shogaAllah Kiumbe anateremsha kwako kama kolani ya kugushi vile, kidogo kidogo kupitia Gabril kwa miaka 23?
Wewe kubali tu kuwa ni fisadi, yaishe.
Yule askofu wako amekufanya mbaya na amekufundisha tabia hizo lol,amewaharibu wengiDuh, mwamadi kakufanya vibaya Shehe! Wale popobawa mliokuwa mnafuga, kumbe walikuharibu na wewe. Astakafurilah.
Yule askofu wako amekufanya mbaya na amekufundisha tabia hizo lol,amewaharibu wengi
Mchungaji sina shida na uraia wa taifa lolote waambie watumwa wenzako..lol..nimerizika na nchi yangu na uwezo alionipa Allah.Inaonekana roho inakuuma sana ulipo gundua kuwa huna pre qual za kupata urai wa taifa kubwa.
Bado una option kajaze kale ka bahati nasibu ka bure ka dv 2011, you never know bana.
Nenda kajiandikishe kwa jeshi la wamerakani wakunanii ukirudi ufungue kanisa lako ....Kumbe allah anagawa na ufisadi!!!!!!!
Mtego huo...provided zat kunahitajika vikosi zaidi kukabiliana na Taliba huko Afghanistan, wanatafta watu wa kuwatoa kafara...kazi kwenu.
Miye waaala!Rudini nyumbani bongo, mtaenda kufia huko alafu muanze kutuomba kuchangia gharama za kusafirisha maiti..
Rudini nyumbani bongo, mtaenda kufia huko alafu muanze kutuomba kuchangia gharama za kusafirisha maiti..
USA ni taifa kubwa. Wewe huoni hata Gadafi kakubali kulala nje, ilimradi yupo Marekani,