Haaa wapi, huyo dada amevumilia sana mpaka sasa mambo yametengemaa. Angekuwa mwanamke mwingine kwavile wana watoto, angepiga hale angesepa. Beckham alikuwa kiwembe anapiga mpaka mabeki tatu, au umesahau scandal zao?

Nimesoma lakini naona ni accusations tu za wasaka tonge....wenzetu huko mbele ni wepesi wa kukiri kama ame cheat tofauti na huku kwetu unakomaa mwanzo mwisho hata wakuwekee mtutu. tumeona kina cole, gigs, schwazenegger, tiger woods etc.
Ni sehemu moja amekiri kwamba kuna wakati walipata kubaki wawili chumbani....
sasa wewe hujawahi kubaki ndani na msichana na bado ukamshinda shetani?????? hahahahaa