Moja ya wachezaji wanaofahamika kuwa na mitindo mingi na tofauti ya nywele ni
David Joseph Beckham.
Moja ya unyoaji uliowahi kumletea shida akiwa chini ya Sir.Alex Ferguson ni kijogoo.
Alijua fika ingeleta shida ila upenzi wake kuwa na mionekano ya kitofauti ikamlazimu kunyoa hivyo.
Sio mazoezini Wala eneo la kula ilimbidi kuvaa mizura kuficha ujinga alionyoa akisubiri Siku ya mechi kuonesha mtindo wake mpya.
Mbaya zaidi Siku ya mechi wakiwa wanajiandaa Fergie alimspot Beckham akiwa kanyoa Uhuni huo.
Paliwaka humo ndani na aliwaka akimwambia utanyoa muda huu huu ndio uende uwanjan vinginevyo ubaki Locker room au avae Mzura wake akakae Benchi.
"Nipo serious toka nenda kanyoe zote na sitaki Kuona yakijirudia Tena , Sawaa ?"
View attachment 2750852
"Manchester United legend David Beckham once shared an interesting incident from the dressing room that made him shave off his head just before the game.
View attachment 2750888
Former United coach Sir Alex Ferguson was known for his hairdryer treatment of the players. He never held back onto his players and slammed them whenever they made mistakes"
View attachment 2750870
Huyo ndio Mzee Mkoloni kutoka visiwa vya Uingereza.