Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,706
- 6,941
jamaa alikuwa safarini gari likamharibikia kijijini, akaomba hifadhi, akakaribishwa baada ya kuoga na kula MZEE sasa huyu mgen alale wap? MKE saa hizi ni ucku akalale na bebi jamaa akaona huyu bebi pengine anakojoa kitandani au atalia kunisumbua ucku JAMAA:mspate tabu mi nitalala hapa kwenye koch.asubuh wanakunywa chai akaibuka mrembo jamaa akapigwa na bumbuwaz almanusra ajimwagie chai BINT: Naitwa BEBI we unaitwa nan?JAMAA:aah mi naitwa BONGE la ---- kumamamae zangu!