Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Hahahahhaha Mzee asubuhi yote hii?Bonge moja la point yan
sio anaona Mende Ndio kwanza anaenda kutafuta fimbo
Awe mpole buana
waiter zungusha kwa STUNTER[emoji481] [emoji481] [emoji481]
Asanteee....Hahaha! Ndo mana wengine tunajifanyaga washamba ili umpe bichwa mpenzi wako, nae ajione anajua kuliko wewe!
Mwanaume naturally ni kiongozi so ni vizuri umwache aongoze ata kama unajua kua anaboronga, unamweka kwenye njia sahihi kistaarabu bila yeye kujua.
Mapema sana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bonge moja la point yan
sio anaona Mende Ndio kwanza anaenda kutafuta fimbo
Awe mpole buana
waiter zungusha kwa STUNTER[emoji481] [emoji481] [emoji481]
Punch [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bebi anajua mpka team za Singapore kisa ana beti na yeye