Beautiful Words

Usikiogope kiingereza Mkuu. JF ni shule ya aina yake inaweza kabisa kukusaidia kuongeza ufahamu wako kwenye hii lugha.

Ila mkuu story inaweza kuwa nzuri ukakuta ipo kwa English wengine tukishaona eng tuna skip ila kama nimekosea mkuu nisamehe
 
Kila la heri. Ukiweka juhudi utaona maendeleo makubwa sana. Hata kusoma vitabu na magazeti ya kiingereza na maneno magumu kwenda kutafuta maana yake kwenye dictionary.

Nitajaribu mkuu
 
Kila la heri. Ukiweka juhudi utaona maendeleo makubwa sana. Hata kusoma vitabu na magazeti ya kiingereza na maneno magumu kwenda kutafuta maana yake kwenye dictionary.
Kama kibembe niliweza bas eng haitanisumbua
 
Reactions: BAK
Never open the door for an Armed Robber, let them break it, its part of their Job♥♥♥♥♥♥♥♥♥♥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…