Mmmh...... Subiri nikapunguze huu urefu nitaku PM..!
my sis mtafute anavgezo vyote uvitakavyo 0712 777727 mkaribie
Hivyo vigezo vipeleke Guangzhou, wanatengeneza.
Hahaha mwenye gubu nani....usingekuwa single na uzee huo lol...wasubiri wanakujaUsilete usungura wa sizitaki mbichi hizi.uzi umekuwasha nini kama hukidhiviwango si ufunge mabakuli yako? Watu mna gubu kama wazeee!
Hahaha mwenye gubu nani....usingekuwa single na uzee huo lol...wasubiri wanakuja
Pls PM me and i will link you with Smart and intelligent
narusha kama alivyotamka sikunji neno.
age not above 33years old
not too tall no too short,
I mean the lady who you wont be tired seeing her nor tired listening at her,very constructive and wise,
someone if you loose control and accidentally gone to next level you wont regret...
Not a gold digger nor a militant with m pesa,tigo pesa or any other kind of Missiles,
A real fighter and hard worker because I am hard worker too and fighter.
some how classy...but not extreme classy just normal human being who knows what she is doing.
tatizo adabu yako ndogo
shule yako ndogo kama ya Mulugo.....Rudia kusoma nilicho kiandika
kuwa single kwani kuna ubaya si uchaguzi..... we yaona ya mwenzio yako je?
mimi sipo single dada.......Poleeee
Naona elimu yako ilivyokuwa kubwa...kama sio single, umeona uzinzi do deal. Get a life!
Waifunga wamekushtukia....tusalimie. Inzi kama nyie wengi tu kariakoo