Makisio ni bei gani kwa acre.
Millioni 900!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hiyo million 900, mimi nitapata faida gani na eneo hilo?
isuje kuwa pale wanapotaka jenga bandari mbeleni au?
Mkuu viwanja bado vipo?au ndio vishawahiwa?Mkuu kuhusu uhalali wa eneo hakuna tatizo lolote,utakuwa Na uhuru wa kuchunguza hati husika Kwa kwenda kwenye idara yeyote itakayokupa majibu utakayoridhika nayo ndio ufanye malipo
Mkuu kuna eneo la ekari Sita bei yake ni m900.Kama nilivoeleza hapo juu,ni eneo halali,na unaweza chukua tahadhari zote unazoona zinafaa,ili tu uridhike.....!!!
Mmelenga wa TZ wa kawaida au mafisadi?
Mh wa TZ kwa bei kasheshe mnaiga wapi hizi bei?
Nitalifanyia kaziWasiliana na huyu anahitaji. 0773 944 944
Inamaana unapendekeza bei zote ziishie elfu hamsini ili watanzania wote wamudu..??????:crying:
Labda Mkuu,ila hoja yako haikuwa na mshiko,si vema ku-comment bila kutafakari kwanzaUnamatatizo wewe!