Beach plot zinaatikana, wahi mapema, milion 8 kwa heka moja.

Beach plot zinaatikana, wahi mapema, milion 8 kwa heka moja.

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,594
Reaction score
1,863
Ni viwanja vy ufukwe vizur na vyakuvutia ufukwen mwa bahar ya Hindi, wahi mapema kwan ndan ya wiki 1 huuzwa zaid ya heka 5.
Call me in 0715812160 na ziko kama heka 54 tuu...
 
please, kama unahitaji nipigie kwa namba hiyo wakuu...thank you!
 
ile bomoa bomoa haifiki kwenye viwanja vyako ?, vimepimwa ?
 
Kabla hatujapiga tuambie viko wapi,au wataka kujua number za watu wa JF?then? Au hauuzi mkuu?ya nin basi kuweka habari like sitaki nataka kaka?
 
huyu atakua anauza vya salender kipindi cha maji kupwa na maji kujaa ndo maana hasemi viko wapi.
 
Kuweni makini na watu wasio waaminifu! Yeye anaweka habari nusunusu kisha anasisitiza kupigiwa simu tu. Why? Hataki kueleza mahali vilipo kwa kuandika why?
 
hata wamasai sikui hizi huwapati,nyie ndio mnauzaga fukwe wakati maji yameenda kutembea
 
Back
Top Bottom