Beach plot for sale

Hadi leo bado tu "unashughulikia" hizo picha???
Madam nataka nipate upenyo kidogo niende mwenyewe nikapige,kijana aliepo kwenye eneo hana smartphone,na nimeanza kutangaza kuliuza nikiwa mkoa mwingine,soon nitaweka
 
Naomba picha za eneo please nikupe mteja.Uniambie commission sh ngapi?Na nikiweka cha juu nakipataje maana nahitaji Guarantee la hiyo %.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…