Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,405
- 3,267
Kutoka mtwara mjini kuna km 13 mkuuMkubwa Naumbu iko umbali gani toka Mtwara mjini?
Nimekuelewa mkuu,lakini hizi ni ekari tano,na zinauzwa kwa pamoja kwa kua hati yake ni moja piaYaani ukiuza ata eka 1 tu nichek tununue ata gari ili wateja tunawazungusha kwny gari yetu maana eka 60 ni nyingi
Sawa kiongozi ,tutachekianaPicha yako na maelezo yako km vimenitia wasiwasi , huku dar maeneo km hayo ambayo hyo picha inaonesha mengi ya serikari . Tulitegemea utatuonesha izo eka ila sio kesi ww fanya biashara ukiitaji kuagiza au ku clear gari bandarini nicheki
Sio za serikali,apo ni picha tu hiyo Ila eneo linapoanzia sio hapo,Kuna mitaa kazaa katoka baharini ,ukishapima za serikaliMbona unawauzia watu eneo la serikali? Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa aliwahi kuuziwa beach kama hivyo mwezi mmoja anarudi na gari la tofali anakuta bahari imerudi eneo lake, Ni kichaa mmoja maarufu leo hii kule Kigamboni.
Sawa mkuu,haziingiliani kabisaUnasahau zile 60m kutoka ufukwenj
Zama hizi kweli Kuna mtu atanunua eneo bila kujua eneo la serikali mita ngapi?hati ipo mkuu,Kila kitu kinaonekanaMbona unawauzia watu eneo la serikali? Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa aliwahi kuuziwa beach kama hivyo mwezi mmoja anarudi na gari la tofali anakuta bahari imerudi eneo lake, Ni kichaa mmoja maarufu leo hii kule Kigamboni.
Sasa mkuu ungefanya mpango wa picha za eneo husika. Hizi zinafukuza wateja.Zama hizi kweli Kuna mtu atanunua eneo bila kujua eneo la serikali mita ngapi?hati ipo mkuu,Kila kitu kinaonekana
Sawa mkuu,Asante kwa ushauri ,nitaziweka apa,nashughulikiaSasa mkuu ungefanya mpango wa picha za eneo husika. Hizi zinafukuza wateja.
Sawa sawa mkuu,nimeelewa vyemaPoint yangu ya picha nazan umeielewaa, tafuta picha nzuri zinazoReflect ukweli wateja wapo
Nitakutafuta privatePoint yangu ya picha nazan umeielewaa, tafuta picha nzuri zinazoReflect ukweli wateja wapo
Wakati huo kutoka MTWAR mpaka Mikindani ni Km ngapi?Kutoka mtwara mjini kuna km 13 mkuu
Sifahamu mkuuWakati huo kutoka MTWAR mpaka Mikindani ni Km ngapi?
Sasa kama hufahamu umbali wa kutoka Mtwar Mjini mpaka Mikindani, utajuaje umbali wa kutoka Mtwara mjini mpaka Naumbu?Sifahamu mkuu