Beach plot for sale.

Beach plot for sale.

BALOTEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
666
Reaction score
894
Habari za ijumaa wana JF . Nauza kiwanja kipo Bagamoyo kaole in kiwanja kikichopakana na bahari upande wa mashariki kinafaa kwa ujenzi wa hotel ya kisasa au apartments. Kina ukubwa magharibi 128.88m kwa mashariki 287.68m na 114.23 kaskazini kwa 120.89 kusini.

Kimepimwa na kina hati. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hii 0673 687 366 au 0766687366.

Nimeambatanisha Picha ya ramani kwa ufafanuzi.

0673687366.
33e2c73454726aae7d1d27a899222584.jpg


Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom