Beach plot for sale Dodoma,

Beach plot for sale Dodoma,

Rip parents

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
219
Reaction score
192
Heka 5
6m
Hati ya kijiji Hombolo!
Haina DALALI
BARABARA mpaka site!
Bamboos trees !
Ndega wazuri WA aina mbalimbali
Km 35 toka Mjini Dodoma
Km 1 toka BARABARA juu ya Hombolo!
The future is not far!
Wahi mapema!
Simu 0755695066

!
919fe67451a1fa6a2d861cf8b1748d51.jpg
812c594471ebfbe7bb443a822456e504.jpg
dab66c2c8b88ab1208c3c2c33a1daddc.jpg

47435036b794459bb96fa38b50a6be3e.jpg
b81ebf1c70e68bfe927c9b8942376ba5.jpg
2d8306550808b43628e7e57aa9d9482b.jpg
231cf236f41574d38d932af6e4f628cc.jpg
 
Bwawa halikauki mwaka mzima!
Hakuna haja ya kurudi dar kufuata bichi
Upepo mzuriii
 
Kweli dunia haiko fea ndio beach ndio hii kuna miti mikubwa bila majani, na hayo Maji si kidimbwi tu cha msimu,au labda useme eneo la kuota jua kama kenge
Bwawa kubwa ndio humwagilia mashamba ya zabibu !
Ndio huzalisha mbogamboga kwa Dom!
8a9bb1384fbcab62c534b6f43858f393.jpg
 
Kweli dunia haiko fea ndio beach ndio hii kuna miti mikubwa bila majani, na hayo Maji si kidimbwi tu cha msimu,au labda useme eneo la kuota jua kama kenge
Lina urefu mkubwa tuu takribani km 20
Mfano mbezi bichi massana to mbezi mwisho y kuenda kibaha!
 
Mahoteli tayari yameaanza kujengwa!
Hii bei ya kimasikini tuu!
Baaada y miaka 10, naomba unitafute
 
Heka 5
6m
Hati ya kijiji Hombolo!
Haina DALALI
BARABARA mpaka site!
Bamboos trees !
Ndega wazuri WA aina mbalimbali
Km 35 toka Mjini Dodoma
Km 1 toka BARABARA juu ya Hombolo!
The future is not far!
Wahi mapema!
Simu 0755695066

!
919fe67451a1fa6a2d861cf8b1748d51.jpg
812c594471ebfbe7bb443a822456e504.jpg
dab66c2c8b88ab1208c3c2c33a1daddc.jpg

47435036b794459bb96fa38b50a6be3e.jpg
b81ebf1c70e68bfe927c9b8942376ba5.jpg
2d8306550808b43628e7e57aa9d9482b.jpg
231cf236f41574d38d932af6e4f628cc.jpg
Umefanya makusudi kuliita bwawa, beach au ndiyo mambo yakuchanganya birthday na happy birthday.
 
Hyi plot iko upande wa Ipala, Zepisa au Mkoka?

Bei imechangamka sana hyo mkuu
 
Mbona bei kubwa sana million 9 kwa kijijini huko??? Hebu fikiria tena hiyo bei
6d073aa0c8a868df69130750ad94d477.jpg
69961fdb28a7a1343d0ea51f32d9794b.jpg
109844c14a5bb3a4bbb0ab113d5e0959.jpg


Hizo picha nimecrop tu mahali!
Ila chuo nikikubwa kuliko Ardhi university ya DSM!
Sio porini!
Na mji ndio unakua,

Wajanja wanapiga simu kwa wingi!
 
Kwa sababu watu watakapo ongezeka karibu nao itabidi wahame kwa lazima.
Hapo bomoa bomoa ya vichali vyao itahusika na hakuna fidia kama kawaida.
Mkuu usijali sana viwanja vitauzika ila hao ndege wataondoka
Uzuri hawaogopi watu!
Wanataga kwenye miti!
Tuwaombeee wasiondoke Mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom