Bwana Luhanjo awe mfano wa kutoa email adress ya ofisi yake?Ianshangaza mpaka leo hii maombi ya kazi ofisi za uma mpaka upeleke karatasi.
Awalazimishe ofisi zote na wiazra na idara ziwe na email adress na maofisa habari wayafanyie kazi na kutafuta majibu ya maswali ,maoni ya wadau. Hakuna two way communication..kazi ofisi ya mkuruenzi wa habari/mawasiliano ni kutoa habari za ofisi tu. Wakubali pia kupokea ushauri, maoni,pongezi na changamoto
Nilishngaa kipindi kile cha zeutamu baada ya picha ya mkuu kutolewa akifanyiwa kitu mbaya nikajaribu kuandika email kuwauliza mbona serikali mnachelwa kuomba ma host wa ile site ifungwe. sioni email si ya Polisi si wizara yeyote hata hata ikulu hawana email. Ile site ilichukua takriban siku kama tatu hivi. Its a challenge.