Be a real Man

Nna matukio nkiweka hapa unajiuliza Kama sikuona wengine aua vipi ..... Imani yangu na 2ND chances kwa wanawake zingenitoa roho kishamba 😛
Pole! I get that...but if we are being honest, wewe huwa unawatendea wenzio haki??

Maana watu huwa wanalalamika kutendwa wakati na wenyewe wamewahi kufanyia wengine makubwa/mabaya zaidi.
 
Nafahamu kila mtu ni mbaya katika historia ya mtu fulani ila kwa mavuno niliyavuna toka kwao acha muhasi😂
Labda ndo unamalizia malizia kulipia dhambi zako. Kuwa mvumilivu!😄
 
Ukishafanya mambo yako yote kinachobaki mpe mwanamke.
 
Dah Leo ndo nimegundua kiingereza kimenitupa mkono

Naungana na comments Za wadau

“Kweli wanawake ni wabaya usiwasikilize”
Hukumsikilizaga vizuri Mwalimu Nyamweru au ulikua una dodge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…