dullavirux
Member
- Sep 11, 2016
- 38
- 8
-Kati ya hizo program mbili ipi yenye wigo mpana kwenye kusoma?
-Ipi yenye wigo mpana kwenye ajira na kujiajiri?
-Ipi ni ngumu na ipi ni rahisi?
Mawazo yenu wadau bila kuangalia inatolewa kwenye chuo gani.
-Ipi yenye wigo mpana kwenye ajira na kujiajiri?
-Ipi ni ngumu na ipi ni rahisi?
Mawazo yenu wadau bila kuangalia inatolewa kwenye chuo gani.